Showing posts with label VIDEO. Show all posts
Showing posts with label VIDEO. Show all posts

Sunday, 14 August 2016

New Video: Fid Q f/ Christian Bella – Roho

Baada ya kuachia single yake Sumu Jumamosi hii kwenye siku yake ya kuzaliwa, August 13, Fid Q ameachia video ya ngoma yake nyingine na mpya pia, Roho. Kwenye wimbo huu wa mapenzi, amemshrikisha Christian Bella huku P-Funk akiwa producer.http://www90.zippyshare.com/d/RNDd9J9c/3843/Fid%20Q%20ft%20Christian%20Bella%20-%20ROHO.mp4

Fid Q ft Christian Bella - ROHO.mp4