Thursday, 11 August 2016

Mwanaheri akataa posa
DAR ES SALAAM: Mwigizaji anayekuja juu kwa kasi kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Mwahaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kufuatia kutokuwa tayari kuolewa, alishatolewa posa mara nane lakini akazikataa zote.
Akizungumza na Wikienda, Mwana alisema kuwa hayuko tayari kuolewa kwa sasa hadi akamilishe mipango yake aliyojipangia ndiyo maana hata posa zilivyokuwa zikiletwa kwao hakuwa tayari.
“Nilikuwa bado niko chuo, nikawa napata tu habari kutoka nyumbani kwetu Mtwara kuwa kuna posa zilikuwa zinaletwa lakini niliwaambia kabisa sizitaki kwani siko tayari kuolewa kwa sababu bado muda wangu haujafi ka,” alisema Mwana Anaye fanya poa na fi lamu yake ya Mwanaheri.

sourse:bongo5

Related Posts

Mwanaheri akataa posa
4/ 5
Oleh

Subscribe via email

Like the post above? Please subscribe to the latest posts directly via email.