Thursday, 11 August 2016

Juma Nature: SIFANYI COLLABO NA DIAMOND MPAKA

Rapper mkongwe, Juma Nature amedai kuwa hawezi kufanya wimbo na Diamond mpaka pale dhamira yake ya kushindana naye jukwaani itakapo 
Mapema mwezi April mwaka huu Nature alikiambia kipindi cha Ladha 3600 cha EFM kuwa Diamond ndiye mpinzani wake pekee kwa sasa na hakuisema kwa ubaya.
Akiongea na Times FM msanii huyo amesema, “Collabo na Diamond bado mpaka tupambane tushindanishwe kwenye jukwaa moja nani mkali wa kupiga show ndio labda ifate collabo.”
Nature ameongeza kuwa mashabiki wasifikirie vibaya kuhusiana na kauli yake hiyo lengo lake ni kujenga ushindani wenye faida kati yao.Related Posts

Juma Nature: SIFANYI COLLABO NA DIAMOND MPAKA
4/ 5
Oleh

Subscribe via email

Like the post above? Please subscribe to the latest posts directly via email.